Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

PICHA : Tazama picha za ndoa ya AlikibaMsanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera.

Sherehe itafanyika hapo baadae na inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu kutoka maeneo mbalimbali.

Kwa upande wake Rais wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwanaye Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete wametoa udhuru wa kutohudhuria sherehe ya harusi ya msanii huyo kutokana na kuwa na majukumu mengine.

Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget