Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Hiki ndicho alichokiandika Majizzo kwenye birthday ya Lulu


Leo April 16  ni siku ya kuzaliwa watu wengi duniani ambao ni maarufu na wengine sio maarufu ila kwa upande wa waigizaji ni siku ya kuzaliwa ya Elizabeth Michael “Lulu” ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo chake cha miaka miwili.

Mpenzi wake Elizabeth Michael ambaye ni Majizzo hakutaka siku hii ipite bila kuandika maneno ambayo ni ya muhimu kwa mpenzi wake katika siku hii ya kuzaliwa kwake ingawa yupo gerezani na maneno hayo ameyaandika kupitia ukurasa wake wa instagram.

"There are many days passing in life, but today is very important. First it explains that you are a very important person in your life, and second; You continue to be the most important person to me. You are a Woman and a half. I love you so much, Mama G. Happy birthday. "

Kwa Tafsiri isiyo rasmi, kasema; “Kuna siku yingi zinapita katika maisha ila leo ni siku muhimu, cha kwanza inaelezea kuwa wewe ni mtu muhimu kwenye maisha yako na pili endelea kuwa mtu muhimu kwangu, Nakupenda sana Mama G, Heri ya siku ya kuzaliwa”Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget