Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

BreakingNews : Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia


Mwanamitindo na video queen marufu bongo Agnes Gerald maarufu kama Masogange, amefariki dunia leo kwa tatizo la presha.

Akithibitisha taarifa ya kifo hicho daktari Rama Ngoma wa hospitali ya Mama Ngoma, amesema Agnes amefariki dunia kwa tatizo amesema kwamba Agnes amefariki jioni hii kwa tatizo la pneumonia na upungufu wa damu, na alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa muda wa siku nne mpaka kifo kilipomkuta.
Tayari mwili wake umeshatolewa hospitali ya Mama Ngoma, na kwa mujibu wa muigizaji Steve Nyerere umepelekwa hospitali ya Taifa ya muhimbili.
Agnes Masogange alikuwa maarufu baada ya kuonekana kwenye video kadhaa za bongo ikiwemo Masogange ya Belle 9

Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget