Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Model wa Video ya ‘Ntampata Wapi’ ya Diamond Ashinda Taji la Top Model SAUnamfahamu Melissa Magiera ambaye amewahi kuonekana kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’ ya Diamond? Nadhani utakuwa umeshamkumbuka kupitia video hiyo niliyokutajia.

Mrembo huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya kampuni ya Fan Jam Model Management, wiki iliyopita amefanikiwa kushinda taji la Top Model 2018 nchini Afrika Kusini.

Melissa ameshinda taji hilo kwa kuwabwaga washiriki wengine 38 ambao walifanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali.

Mrembo huyo ataiwakilisha Afrika Kusini kwenye mashindano ya Top Model ya dunia ambayo yatafanyika Ijumaa ya April 6 na 7 ya mwaka huu mjini London. 
Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget