Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Maneno ya Irene Uwoya kwa Msami ‘Usi-force, Panic na Yako’Leo March 20,2018 kwa upande wa burudani story ambayo na yenyewe inachukua headlines ni kutoka kwa mke wa msanii Dogo Janja, Irene Uwoya ambaye leo amechukua dakika zake kuandika Instargram ambapo amem-post staa wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni dancer Msami na kuandika caption ambayo imezua gumzo mtandaoni

Irene Uwoya ameandika…. >>> Mchezaji muziki bora Afrika usi-force ndio kuwa hapana na tafadhali panic kwa hatari yako mwenyewe @msamibaby


Lakini kwa upande wa comments muigizaji Steven Nyerere alionekana ku-comment kutokana na kile ambacho Irene Uwoya ameki-post kwenye page yake ya instagram.

Steven Nyerere ameandika…….>>>“Umeanza tena heee we mwanamke doh leo umemkumbuka tena wewe huyo linda ndoa tushachoka vikao vya ndoa”
Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget