Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

PICHA : Lowassa alipofika nyumbani kwa Mzee Kingunge na kusaini kitabu cha maombolezo


Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa jioni ya jana February 2, 2018 alifika nyumbani kwa aliyekuwa muasisi wa Taifa na rafiki yake wa siku nyingi Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyefariki alfajiri ya jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
Lowassa ameungana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, Spika Mstaafu Pius Msekwa na mke wake Mama Anna Abdallah, Mkuu wa Polisi mkoa wa Dar es salaam mstaafu Suleiman Kova na viongozi wengine.

Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget