Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

TRL inapoteza zaidi ya Mil.200 kwa siku kutokana na treni kutofanya kazi.


Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Atashasta Nditiye akiongozana na Mkurugenzi wa TRLMasanja Kadogosa amefanya ziara katika maeneo ambayo miundombinu ya reli imeharibika la Munisigala mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa TRL, Masanja Kadogosa amezungumzia hasara inayopatikana kutokana na uharibifu wa miundombinu hiyo na kusema shirika hilo linapata hasara ya Milioni 150 hadi 200 kwa siku kwa sababu ya kusitishwa kwa usafiri wa reli hiyo.
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget