Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Hospitali ya Bugando Mwanza wamepata kifaa cha CT-SCAN, Kwa mara ya kwanza.


Kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando Mwanza kwa mara ya Kwanza wamepata Kifaa cha kupima mionzi CT-SCAN, ambacho kimegharimu Bilioni. 1.7, akizindua kifaa hicho Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  January 26, 2018 ameahidi kuwapatia kifaa cha MRI kabla ya mwaka 2018 kukamilika.
Namnukuu Waziri Ummy “Leo nataka kuahidi kwamba serikali itawapatia Mashine ya MRI ili muweze kuimarisha huduma za kiuchunguzi, mtaipata kabla ya hata ya mwisho wa mwaka 2018, “-Waziri Ummy Mwalimu
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget