Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Amber Lulu Adai Alikataa Zaidi Tsh. Milioni 200 ili Kupiga Picha za Utupu


Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amedai aliwahi kutaa dili la zaidi ya Tsh. Milioni 200 ambazo zilitolewa ili aweza kupiga picha za utupu.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘True Love’ ameimbia XXL ya Clouds Fm sababu ya kukataa fedha hizo ni kwamba alikuwa ameshaacha kupiga aina hizo ya picha.

“Ndio nitachukua hiyo hela nitakuwa na kila kitu mwisho wa siku kuna kitu kitamisi, ni hela nyingi sometime unaweza ukatamani lakini naamini nikiwekeza nguvu naweza nikapata hizo hela zaidi ya wanazoniambia,” amesema.

“Sikuwachukulia hivyo kwa sababu nilikuwa tayari katika situation ya kuondoka katika hiyo hali, ilikuwa dola laki moja,” amesisitiza

Hivi karibuni serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ilimuita msanii wa Bongo Fleva Gigy Money na Mwanamitindo Sanchoka kwa mahojiano maalumu kuhusu kazi zao ambazo zinaonekana zipo kinyume na maadili hususani kwenye mavazi wanayovaa 
Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget