Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

"Mimi siongei na watoto" - Nay wa MitegoRapa Nay wa Mitego amefunguka na kusema hawezi kubishana wala kuongea chochote juu ya tuhuma ambazo Daxo Chali amekuwa akizitoa kwake na kusema yeye si mtu wa kubishana au kuongea na watoto wadogo.

Nay Wa Mitego amesema hayo alipohojiwa na eNewz na kusema mtayarishaji huyo wa muziki bado ni mtoto hata kazi yake bado hajaijua vizuri na kudai kutokana na hayo ndiyo maana anataka kuitia doa 'label' ya Mj Records kwa kupeleka mambo hayo kwenye vyombo vya habari. 

Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget