Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

The Rock atania kuwania urais Marekani ?

 

Dwayne Johnson(The Rock) mwigizaji pekee anaelipwa hela nyingi duniani alitangaza kuwania uraisi wa Marekani ifikapo 2020.

The rock mwenye miaka 45 aliyetokea katika mchezo wa mieleka (WWE)alitangaza kuwania uraisi Marekani mwaka 2020 katika kipindi maarufu cha ‘Saturday Night Live’ameamua kutengua kauli yake hiyo.Ambapo Tom Hanks ambaye pia ni muigizaji alikubali kuwania nafasi ya umakamu wa rais.

Hata hivyo The rock anaefanya vizuri katika filamu mpya ya ‘Baywatch’ ameeleza kuwa tangazo hilo lilikuwa la utani tu, ila Marekani inahitaji viongozi walio na uwezo wa kuongoza, wanaojali maslahi ya taifa hilo na raia wake alieleza.
Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget