Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Rais Magufuli awataka Watanzania kuchangamkia fursa mradi wa Bomba la mafuta ghafi

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kuchangamkia fursa kwenye mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Kabaale-Uganda hadi Tanga-Tanzania.

Rais Magufuli ameandika maneno hayo leo, katika ukurasa wake wa Tweeter huku akisema mradi huo ni kielelezo tosha cha muendelezo wa ushirikiano wa nchi zetu mbili.

“Nchi yetu imepata mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Kabaale/Uganda hadi Tanga/Tanzania,ni fursa kubwa ktk kuujenga uchumi wetu. “Mradi huu ni kielelezo tosha cha muendelezo wa ushirikiano wa nchi zetu mbili na hasa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki,” Rais Magufuli ametweet.
“Wito wangu kwa watanzania wote ni kuchangamkia fursa hii kipindi cha ujenzi na uendeshaji wa mradi huu. Mungu Ibariki Tanzania.”


Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget