Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Bomba la kupitisha pombe kujengwa Ujerumani

 
Pombe itakuwepo kwa wingi katika tamasha hilo  

Waandalizi wa Tamasha maarufu la muziki wa rock nchini Ujerumani wamewahakikishia wateja zaidi ya elfu 75 kwamba, katu! hawatokumbwa na kiu ya pombe.

Wanajenga bomba kubwa la kusafirisha pombe katika eneo la tamasha hilo.

Waandalizi wa tamsha hilo maarufu kwa jina, Wacken Open Air festival, wanasema bomba hilo litakuwa na uwezo wa kufikisha glasi sita za pombe kwa kila sekunde.

Bomba hilo litakuwa na urefu wa kilomita 7 na upana wa inchi 14.


Bomba hili litazuia uharibifu unaotokana na mgari ya kusafirisha pombe kila siku 
 
Watu elfu 75 huwa wanahudhuria tamasha hilo kila mwaka, na inakadiriwa kwamba kila mmoja huwa anabugia lita tano za pombe katika kipindi cha siku tatu.

 

Zaidi ya watu 75,000 huwa wanahudhuria tamasha hilo kila mwaka 

 
Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget