Habari | Afya | Makala | Magazeti | Michezo | Burudani | Teknolojia | Mapenzi

Blagnon, Kichuya waipandisha ndege Simba


Simba imetwaa ubingwa wa kombe la shirikisho Azam kwa kuifunga Mbao Kwa mabao 2-0 Kwenye uwanja wa Jamuhuri,Dodoma Na kufuzu kucheza kombe la shirikisho mwakani.

Si,ba ilipata mabao yake Mawili yalio fungwa na washwmbuliaji wake Fredrick Blagnon na penalti ya Shiza Kichuya wakati bao lakufitia machozi kwambao lilifungwa na Ndaiki Robert.

Katika mchezo huo wa gainali timu zotekatiaka mchezo huo wa final timu zote mbilimbili zilicheza kwa nguvu na kujilinda na kujilinda kwa umakini hadi dakika 45 za kwanza zinamalizila timu izo zilikua suruhu.

kipndi cha pili kila timu ilifanya mabadiliko uamuzi wa Joseph Omog kumtoa Said Ndemla dakika 83 na kuingia Fredrick Blagnon uliokuwa ni habari njema kwa simba.

msambuliaji huyo wakimataifa wa Ivory Coast alifungia Simba bao la Kwanza katika Dakika 95 lakini Mbao ilisawazisha dakika 109 kupitia Ndaki.

waka mashabiki wakiamini mechi hiyo itakwenda kwenye penalti katika Dakika 116, uamuzi wa utata wa mwamuzi Mohamed kikumbo ulifaidisha Simba kwa kupata penalti.

Uamuzi ulisababisha wachezaji wa Mbao Kumvaa mwamuzi kikumbo wakipinga uamuzi huo na kusababisha askai kuingia uwanjani Kutuliza ghasia.

Baada ya vurugu hizo uwanja wa Jamuhuli ulifungwa saa 8.00 mchana Baada ya majukwaa yote kujaa.

Ukikadiriwa kutimiza idadi ya mashabiki 23,000 idadi iliyotangazwa na shirikisho la soka Tanzania (TFF) na chama cha soka Dodoma (Dorefa)
Labels:
Reactions:

Post a Comment

[facebook][blogger]

EYOPAH

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget